David Koech

nafasi ya kenya

David Koech ni mwanasiasa wa Kenya na mwanachama wa Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Mosop katika bunge la kitaifa la Kenya tangu uchaguzi wa bunge wa 2007. [1]

Marejeo

hariri
  1. Members Of The 10th Parliament Archived Juni 16, 2008, at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.