David Ochieng Ouma

David Ochieng Ouma ni mwanasiasa wa Kenya ambaye ni kiongozi wa harakati za ukuaji wa demokrasia, akiwa mbunge wa eneo bunge la Ugenya.[1]

Marejeo

hariri
  1. myleader.co.ke. "David Ouma Ochieng' - MP - Ugenya Constituency". My Leader Kenya (MLK) (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-17.