David Vlok

Mwigizaji nchini Afrika Kusini

David Vlok ni mwigizaji wa Afrika Kusini na mwanariadha wa zamani[1][2] ambaye aliigiza filamu nyingi na anajulikana sana kwa jukumu lake kama Tim Voster katika televisheni ya Afrika Kusini kwenye filamu ya Egoli: Place of Gold .[3]

David Vlok
Amezaliwa 25 Januari 1963 (1963-01-25) (umri 61)
Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji na Mwanariadha


Marejeo hariri

  1. Egoli actor's nightmare Comrades. News24. June 2, 2010.
  2. Shattering Stereotypes. Nedbank. Heather Dugmore. Retrieved January 8, 2015.
  3. David Vlok - TVSA. TVSA. Retrieved January 8, 2015.