Davis Mwamunyange (alizaliwa mwaka wa 1959 katika mkoa wa Mbeya) alikuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.

Alichaguliwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete mwezi Septemba 2007. Kabla ya kuteuliwa kwake alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Serikali.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Davis Mwamunyange kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.