Dawn Penn (alizaliwa 11 Januari 1952) ni mwimbaji wa reggae kutoka Jamaika. Alikuwa na kazi fupi wakati wa enzi ya rocksteady kuanzia mwaka 1967 hadi mwaka 1969, lakini anajulikana zaidi kwa wimbo wake You Don't Love Me (No, No, No), ambao ulikuwa unatamba duniani kote mwaka 1994.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Dawn Penn Bio Dawn Penn Career MTV". MTV. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Desemba 2014. Iliwekwa mnamo 2015-07-10.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Henderson, Alex. "Dawn Penn Biography AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo 28 Machi 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Roberts, David (2006). British Hit Singles & Albums (tol. la 19th). London: Guinness World Records Limited. uk. 422. ISBN 1-904994-10-5.