Deaf West Theatre ni shirika lisilo la faida la sanaa lenye makao yake Los Angeles, California, Marekani[1]. Shirika hili linajulikana sana kwa maonyesho yake yaliyoteuliwa kwa Tuzo za Tony kama Big River na Spring Awakening.

Deaf West Theatre linaongozwa na mkurugenzi wa kisanii DJ Kurs.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Deaf West Theatre". Deaf West Theatre (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-07-17.
  2. "Deaf West artistic director David Kurs: Why deaf actors should be cast to play deaf characters". Los Angeles Times. 13 Julai 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-13.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)