Dean Fourie
Dean Fourie alizaliwa 15 Desemba 1969, ni mwigizaji wa Afrika Kusini.[1] Anajulikana zaidi kwa uhusika katika filamu ya Five Fingers for Marseilles, Action Point na "Mandela: Long Walk to Freedom".[2]
Dean Fourie | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Dean Fourie |
Alizaliwa | 15 Desemba 1969 Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1993 – Hadi sasa |
Tovuti Rasmi | http://www.deanfourie.com |
Kazi
haririMnamo mwaka 1993, alionekana kwa mara ya kwanza kwenye runinga Tropical Heat na kupewa uhusika kama Muongozaji. Walakini, aliibuka mara tatu zaidi mwaka huo huo, kwenye sinema ya Runinga Daisy de Melker na alicheza kwa uhusika kama Rhodes Cecil Cowl. Mnamo maaka 1996, alifanya filamu ya kwanza iitwayo "Rhode". Alicheza kama Lance Koplo. Uhusika wake mashuhuri katika sinema ulijulikana kupitia "Renegade Cowboy" mnamo mwaka 2014 na kisha 2017 blockbuster. Alicheza jukumu la Honest John katika filamu ya mwisho ambayo ilipokea marejeo mazuri na kualikwa kwenye sherehe kadhaa za filamu za kimataifa.[3][4] pia badae mwaka 2017 alijulikana kwenye tamasha la Toronto International Film Festival .[5]
Mnamo mwaka wa 2015, alionekana kwenye kipindi cha BBC Uingereza docudrama The Gamechangers iliyoongozwa na Owen Harris .[6] Katika mchezo wa kuigiza, alicheza uhusika kama 'Ray Reiser'.
Baadaye 2018, alicheza kama "Mkaguzi" kwenye filamu ya"Action Point". mwaka 2019, alijiunga na kipindi runinga cha Welcome to Murdertown akipewa jukumu kama "Ken Leighty".
marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dean Fourie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Dean Fourie". ltdedition. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dean Fourie: Darsteller in Serien". fernsehserien. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ ""Five Fingers for Marseilles": A Bold, Violent Film Explores South Africa's Recent Past". robincrigler. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Five Fingers for Marseilles lights up the sky". fourwaysreview. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Pond, Steve (22 Agosti 2017). "Toronto Film Festival Adds International Films, Talks With Angelina Jolie and Javier Bardem". TheWrap. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Wilson, Benji (15 Septemba 2015). "The Gamechangers, BBC Two, review: 'Radcliffe is excellent'". The Daily Telegraph. Telegraph Media Group. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 17 Septemba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)