Debabrata Biswas (pia anajulikana kama George Biswas ama George- da ; 22 Agosti 1911 - 18 Agosti 1980) alikuwa mwimbaji wa Kihindi wa Rabindra Sangeet. [1] [2] [3] [4] [5]

Debabrata Biswas akiwa na marafiki

Maisha ya awali

hariri

Biswas alizaliwa mwaka 1911 huko Barisal akahamia Kishoreganj, wilaya ya Mymensingh, mkoa wa Bengal, ambao ulikuwa mkoa wa kikoloni wa Uingereza nchini India. Ilikuwa ni wakati ambapo Mfalme George V alikuwa akitembelea India kwa ajili ya makutano ya Delhi Durbar, hivyo aliitwa George . Alikuwa maarufu akiitwa George Biswas ama George Da . [6]

Marejeo

hariri
  1. "Biswas, Debabrata - Banglapedia". en.banglapedia.org. Iliwekwa mnamo 2022-07-20.
  2. "Debabrata Biswas' birth anniversary celebrations". The Daily Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-20.
  3. Ghosh, Labonita (Oktoba 23, 2000). "Rabindranath Tagore's music may finally unshackle with Visvabharati's copyright set to end". India Today (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-20.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Bengal remembers Debabrata Biswas on his 103rd birthday". news.webindia123.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-20. Iliwekwa mnamo 2022-07-20.
  5. "Remembering Debabrata Biswas in Dhaka". The New Nation (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-20. Iliwekwa mnamo 2022-07-20.
  6. Ronojoy Sen. "An unequalled music", May 22, 2010. Retrieved on April 24, 2016.