Deion Sanders
Deion Luwynn Sanders Sr. (alizaliwa Agosti 9, 1967) ni kocha wa futiboli ya Marekani na mchezaji wa zamani ambaye ni kocha mkuu wa timu ya futiboli ya Colorado Buffaloes. Anajulikana kwa majina "Prime Time" na "Neon Deion". Aliichezea Ligi ya NFL kwa misimu 14 na timu za Atlanta Falcons, San Francisco 49ers, Dallas Cowboys, Washington Redskins na Baltimore Ravens. Alishinda mataji mawili ya Super Bowl na alicheza katika World Series moja mwaka 1992 na kumfanya kuwa mchezaji pekee ambaye amecheza katika Super Bowl na World Series.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Haft, Chris. "Deion enjoyed 'Prime' moments on diamond". Major League Baseball. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 5, 2015. Iliwekwa mnamo Februari 5, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Florida State Football Guide". Issuu.com. Agosti 17, 2010. Iliwekwa mnamo Agosti 16, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Price, S.L. (1997-08-25). "CUT OFF FROM THE HERD". Sports Illustrated Vault. Iliwekwa mnamo 2024-09-26.