Delhi ni jiji kubwa na pia eneo maalumu katika Uhindi. Ndani yake iko mji mkuu wa Uhindi New Delhi. Eneo lake ni 1,484 km² na idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa zaidi ya watu miloni 12.

Majengo maarufu ya Delhi
Indie 2006.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Delhi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.