Demakufu Entertainment
Demakufu Entertainment ama Demakufu DJ Academy ni lebo ya muziki kutoka nchini Kenya. Lebo ilianzishwa mwaka wa 2015 ikawa maarufu mnamo Mei 2016 chini ya "Nick Owaka" DJ DEMAKUFU.
DEMAKUFU DJ ACADEMY | |
---|---|
Shina la studio | Dapstrem Entertainment |
Imeanzishwa | 2016 |
Mwanzilishi | Demakufu |
Usambazaji wa studio | "Boom Play" |
Aina za muziki | Kila Aina |
Nchi | Kenya |
Mahala | Nairobi,Kenya |
Tovuti | www.demakufu.com |