Denise Richards
mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa Amerika (alizaliwa 1971)
(Elekezwa kutoka Denise Lee Richards)
Denise Lee Richards (amezaliwa tar. 17 Februari 1971) ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa zamani kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kunako miaka ya 1990, baada ya kushiriki katika filamu nyingi na kuonyesha urembo wake, filamu hizo ni kama vile Starship Troopers, Wild Things na The World Is Not Enough ya James (Pierce Brosnan ).
Viungo vya nje
hariri- Denise Richards at the Internet Movie Database
- Denise Richards katika Movies.com
- Denise Richards katika People.com
- DealMemo.com interview Ilihifadhiwa 6 Septemba 2006 kwenye Wayback Machine. (23 Mei 2002)
- Cinema Confidential interview Ilihifadhiwa 6 Februari 2008 kwenye Wayback Machine. (2 Februari 2001)
- Cosmo interview Archived 2002-06-14 at Archive.today
- Denise Richards Offical Website Ilihifadhiwa 15 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Denise Richards kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |