Detroit Pistons

Detroit Pistons ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Detroit, Michigan. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Andre Drummond, Blake Griffin.

Mmoja kati ya wachezaji wa timu ya Detroit Pistons ya mpira wa kikapu nhini Marekani

Viungo vya NjeEdit


  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Detroit Pistons kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.