Dexrazoxane
Dexrazoxane, inayouzwa kwa jina la chapa Zinecard miongoni mwa mengine, ni dawa inayotumika kuzuia ugonjwa wa moyo (cardiomyopathy) unaosababishwa na doxorubicin na katika kutoka nje ya mshipa kwa anthracyclines.[1][2] Inatolewa kwa njia ya sindano kwenye mshipa.[1]
Jina la Utaratibu la (IUPAC) | |
---|---|
4-[(2S)-2-(3,5-Dioxopiperazin-1-yl)propyl]piperazine-2,6-dione | |
Data ya kikliniki | |
Majina ya kibiashara | Zinecard, Cardioxane, na mengineyo |
AHFS/Drugs.com | Monograph |
MedlinePlus | a609010 |
Taarifa za leseni | EMA:[[[:Kigezo:EMA-EPAR]] Link], US Daily Med:link |
Kategoria ya ujauzito | ?(US) |
Hali ya kisheria | ? (US) |
Njia mbalimbali za matumizi | Kwa mishipa |
Vitambulisho | |
Nambari ya ATC | ? |
Visawe | Dexrazoxane hydrochloride |
Data ya kikemikali | |
Fomyula | C11H16N4O4 |
| |
(Hiki ni nini?) (thibitisha) |
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na maumivu kwenye mahali pa sindano, kichefuchefu na kuhara.[3][1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha kupunguka kwa uzalishaji wa seli za damu.[3] Kwa watoto, inaweza kuongeza hatari ya saratani zaidi.[4] Ni dawa ya kupinga athari mbaya za anthracyclines (madawa ya kutibu saratani).[2]
Dexrazoxane iligunduliwa mwaka wa 1972.[4] Iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1995, na Ulaya mwaka wa 2006.[1][2] Nchini Marekani, miligramu 500 iligharimu takriban dola 420 kufikia 2021.[5] Kiasi hiki nchini Uingereza ni takriban £160.[6]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 "Dexrazoxane Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Mei 2021. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid<ref>
tag; name "AHFS2021" defined multiple times with different content - ↑ 2.0 2.1 2.2 "Savene". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid<ref>
tag; name "EPAR2021" defined multiple times with different content - ↑ 3.0 3.1 "DailyMed - DEXRAZOXANE- dexrazoxane for injection injection, powder, lyophilized, for solution". dailymed.nlm.nih.gov. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 4.0 4.1 Kim, Kyu-Won; Roh, Jae Kyung; Wee, Hee-Jun; Kim, Chan (14 Novemba 2016). Cancer Drug Discovery: Science and History (kwa Kiingereza). Springer. uk. 250. ISBN 978-94-024-0844-7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid<ref>
tag; name "Kim2016" defined multiple times with different content - ↑ "Dexrazoxane Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 984. ISBN 978-0857114105.