Dhuluma ya kidini, ya kisiasa, ya kikabila n.k. ni kati ya makosa ya jinai dhidi ya utu yanayolaaniwa kimataifa, k.mf. katika Nuremberg Principles.

Mtu anayetenda hivyo anaitwa dhalimu, kama yeyote anayewakosea haki wengine.