Diego José de Cádiz
Diego José de Cádiz (1743 – 1801) alikuwa mtawa wa Hispania wa Shirika la Wakapuchini na mhubiri mwenye umaarufu katika kanda ya Andalusia wakati wa karne ya 18.
Alitangazwa mwenye heri na Kanisa Katoliki mwaka 1894.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Louis Châtellier The Religion of the Poor: Rural Missions in Europe and the Formation of Modern Catholicism, 1997 Page 217 "The Spanish Capuchin Diego-José of Cadiz (1743–1801) was not brilliant intellectually. ... But what above all contributed to his extraordinary success throughout southern Spain was the 'inspired' character of his preaching. His 'natural' ignorance – which was perhaps exaggerated by those who extolled him – signified that each of his sermons seemed to be altogether the work of the Holy Spirit. This began in Málaga in 1773."
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |