Dikeledi Direko

Mwanasiasa wa Afrika Kusini

Dikeledi Rosemary Direko (alizaliwa tarehe 28 Aprili 1985) ni mwanasiasa kutoka nchi huru , Afrika ya Kusini ambaye ametumikia kama mjumbe wa baraza la taifa la Afrika Kusini tangu mwaka 2019. Direko ni mjumbe wa kongamano la taifa la Afrika.

Dikeledi Direko
Nchi Afrika ya Kusini
Kazi yake Mwanasiasa

Maisha ya Awali na Elimu

hariri

Direko alizaliwa tarehe 28 Aprili 1985.[1] Alihitimu katika Shule ya Sekondari ya Phehello Senior. Alipata Programu ya Usimamizi wa Mradi (NQF Level 4) katika Taasisi ya Health Advance na ana diploma katika usimamizi wa mahusiano ya umma. Direko kwa sasa anasomea diploma ya sheria na utawala wa serikali za mitaa kutoka Chuo Kikuu cha Fort Hare.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Here's the full list of politicians who will make up South Africa's 6th Parliament", 15 May 2019. 
  2. "Ms Dikeledi Rosemary Direko". Parliament of South Africa. Iliwekwa mnamo 19 Aprili 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)