Dineo Seshee Bopape
Dineo Seshee Bopape (alizaliwa Polokwane, Afrika Kusini, 1981) ni msanii wa habari kutoka Afrika Kusini.[1] Akitumia video, sauti, picha na vinyago wa majaribio kazi yake hujihusisha zaidi na hazina za kijamii na za kisiasa za kitaifa katika simulizi na uwakilishaji. [2][3][4]
Dineo seshee Bopape | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Kazi yake | Simulizi uwakilishaji |
Maisha binafsi
haririBopape alisomea upakaji rangi katika chuo cha teknolojia cha Durban na alihitimu katika chuo cha De Ateliers, Amsterdam mwaka 2007. Mwaka 2010 alihitimu shahada ya uzamili katika Chuo kikuu cha Colombia na kumaliza MFA katika Columbia University New York.[5][6][7]
Ukiachilia maeneo mengine, kazi za Bopape zimeonheshwa katika makumbusho ya New Museum, Chuo cha sanaa Philadelphia na the 12th Biennale de Lyon. Kazi zake binafsi zimewekwa katika nyumba ya maonyesho ya Mart, Amsterdam; jamii ya sanaa ya Kwazulu Natal, Durban; na Palais de Tokyo.[8][9] Bopape alikua mshindi tuzo ya MTN ya sanaa mpya ya kisasa 2008, tuzo za Chuo kikuu cha Colombia za mfuko wa Toby, tuzo za Sharjah Beennial 2017 na tuzo za 2017 sanaa za kizazi kijacho mwaka 2017.[7][10][11]
Marejeo
hariri- ↑ Phaidon Editors (2019). Great women artists. Phaidon Press. uk. 68. ISBN 0714878774.
{{cite book}}
:|last1=
has generic name (help) - ↑ "Detritus and Drawings: The Art of Dineo Seshee Bopape", Brooklyn Rail, April 6, 2009. Retrieved on 6 March 2016.
- ↑ "DINEO SESHEE BOPAPE", Suspicious Minds, August 1, 2013. Retrieved on 6 March 2016. Archived from the original on 2015-12-18.
- ↑ Africa, Art South (23 Septemba 2015). "In Conversation with Dineo Seshee Bopape". Art Africa Magazine. Iliwekwa mnamo 28 Novemba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dineo Seshee Bopape", One Art, January 1, 2013. Retrieved on 6 March 2016.
- ↑ "Dineo Seshee Bopape: slow -co- ruption", Time Out, August 1, 2015.
- ↑ 7.0 7.1 "RackRoom Interview with Dineo Seshee Bopape", Art Slant, November 1, 2009. Retrieved on 6 March 2016. Archived from the original on 2013-09-14.
- ↑ Van Dyke, Kristina (2012). The Progress of Love. Houston and St. Louis: Menil Collection and Pulitzer Foundation for the Arts. uk. 177.
- ↑ "Dineo Seshee Bopape UNTITLED (OF OCCULT INSTABILITY) [FEELINGS]". Palais de Tokyo. 2016-06-08. Iliwekwa mnamo Februari 22, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dineo Seshee Bopape Wins Future Generation Art Prize | artnet News", artnet News, 2017-03-17. (en-US)
- ↑ "Dineo Seshee Bopape (South Africa) receives the Future Generation Art Prize 2017 / PinchukArtCentre". PinchukArtCentre.org. Iliwekwa mnamo 2018-02-19.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dineo Seshee Bopape kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |