Dioniso
Dioniso (Kigiriki: Διόνυσος, Diónysos) ni mungu wa divai na nishai katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Bacchus (pia anaitwa Liber) katika dini ya Roma ya Kale.
Dioniso | |
---|---|
Sanamu ya Dioniso | |
Mungu wa Divai, Drama na Nishai | |
Makao | Mlima Olimpos |
Alama | Thirso, Mzabibu, Ngozi ya chui, Chui, Chui-milia na Chui mweusi |
Mwenzi | Ariadna |
Wazazi | Zeu na Semele |
Ulinganifu wa Kirumi | Bacchus, Liber |
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |