Diskografia (kutoka Kiing.: Discography) ni utafiti na uorodheshaji wa rekodi za nyimbo. Neno linatokana na neno "diski", ambayo ilikuwa ikitumika sana kutajia muundo ambao ulikuwa ukitumika sana kwa jili rekodi za muziki kwenye karne ya 20, na -graph kiambishi tamati kinamaanisha kitu kilichoandikwa.[1]

Kuorodhesha kwa rekodi zote za muziki kwa mwanamuziki au mwimbaji kikawaida huitwa "diskografia".

Marejeo

hariri
  1. discography. Dictionary.com Unabridged (v 1.1), Random House, Inc. Retrieved on 11 Novemba 2008.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diskografia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.