Do You Know ni studio albamu ya tano ya mwimbaji wa Marekani na nyota wa Reality TV Jessica Simpson. Ilitolewa mnamo 9 Septemba 2008 [1] na ilikuwa jaribio lake la kwanza kuvuka kuingia katika mwenendoo wa country. Mtunzi wa nyimbo Brett James alitayarisha albamu hiyo kwa ushirikiano wa John Shanks. Albamu hii iliingia katika chati za Billboard Country katika nafasi ya kwanza na nafasi ya nne katika chati za Billboard 200 huku ikiwa na mauzo yanayoonekana ya 65000 katika Juma la kwanza.[2].

Do You Know
Do You Know Cover
Studio album ya Jessica Simpson
Imetolewa 9 Septemba 2008
Imerekodiwa 2007-2008
Aina Country
Urefu 43:38
Lebo Epic/Columbia Nashville
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Jessica Simpson
A Public Affair
(2006)
Do You Know
(2008)
From The Heart: The Singles Collection
(2010)
Single za kutoka katika albamu ya Do You Know
  1. "Come on Over"
    Imetolewa: 27 Mei 2008
  2. "Remember That"
    Imetolewa: 30 Septemba 2008
  3. "Pray Out Loud"
    Imetolewa: 20 Januari 2009


Utayarishi hariri

Baada ya kutoa albamu ya 2006 A Public Affair, Simpson alitaja kuwa angependa kurudi kwa mizizi yake ya Muziki wa Country kwa vile alikuwa amelelewa katika mazingira ya muziki huo.[3]. simpson awali likuwa ameshaimba vibao vya Country kama vile 'Push your tush' na 'These Boots Are Made For Walkin''. Alianza harakati zake kwa country kwa kuonekana katika video ya muziki ya "You Don't Think I'm Funny Anymore", iliyotolewa na Willie Nelson. mHatimaye alielekea Nashville kuanza kurekodi albamu yake. Single yake ya mwanzo ya country "Come on Over" ilitumwa redioni mnamo 27 Mei 2008. Ilipokelewa na maoni ya kuunga mkono. Single hii ilikuwa debut ya kwanza ya Country ya solo kuingia katika chati za country katika historia[onesha uthibitisho], kianzia #41 na kufikia kilele #18. Wimbo huu ulitolewa kwa mtandao mnamo juni 24, 2008 pamoja na toleo la kuonekana mnamo Julai2008. miongoni mwa watu wanaomtia moyo ni Martina McBride na Shania Twain. Pia alishirikiana na dolly Parton katika albamu hiyo, huku pamoja wakitoa Wimbo "Do You Know". Pia iliandikisha historia katika chati za UK kwa kuwa albamu ya mwanzo kutoka nchi tofauti iliyoingia katika chati katika nafasi ya juu zaidi. Ilianzia #77 katika mauzo kutoka Marekani pekee.[onesha uthibitisho]

Ukuzi hariri

Mpangilio wa Vibao hariri

  1. "Come On Over" (Jessica Simpson, Rachel Proctor, Victoria Banks) - 2:54
  2. "Remember That" (Proctor, Banks) - 3:44
  3. "Pray Out Loud" (Simpson, Brett James, John Shanks) - 3:45
  4. "You're My Sunday" (Simpson, Luke Laird, Hillary Lindsey) - 4:40
  5. "Sipping on History" (Simpson, Laird, H. Lindsey) - 4:14
  6. "Still Beautiful" (James, Shanks, Simpson) - 3:44
  7. "Still Don't Stop Me" (James, H. Lindsey, Simpson) - 3:27
  8. "When I Loved You Like That" (Simpson, Aimee Mayo, H. Lindsey, Chris Lindsey) - 4:06
  9. "Might as Well Be Making Love" (Gordie Sampson, Verges, H. Lindsey) - 3:51
  10. "Man Enough" (Simpson, James, Verges) - 4:19
  11. "Do You Know" (Dolly Parton) - 5:04
    • duet with Dolly Parton
  12. "Never Not Beautiful" (Simpson, Laird) - 3:46 (Kibao cha ziada cha Itunes)

Upokeaji na Wachambuzi hariri

Single hariri

Single ya kwanza ya albamu hii "Come On Over" (iliyotungwa kwa ushirikiano na Victoria Banks ndiyo ilikuwa toleo la kwanza la Simpson kwa country radio, ikifikia kilele katika nafasi ya 18 katika chati za country mnamo Agosti 2008.

Single ya Pili "Remember That", ilitolewa mnamo Oktoba na ikafikia kilele #42 katika chati za Hot Country Songs na single ya tatu "Pray Out Loud" ikashindwa kuingia kwa chati.[4]

Unawili Katika Chati hariri

Albamu hariri

Licha ya kuuza nakala 65,000 katika juma la kwanza, Do You Know ilianzia #4 katika chati za Billboard Top 200, lakini ikashuka haraka sana, ikitolewa kwa chati katika muda wa majuma tisa pekee.[5]. Wakati huo huo, ilishuka na kutoka katika ishirini bora katika chati za Country Album ambapo ilikaa uongozini kwa juma moja tu. Kwa ujumla, albamu hii haijanawili ikilinganishwa na mauzo ya albamu ya awali ya Simpson ambayo ilitajwa kutokuwa na ufanisi wa kibiashara. Kufikia mapema 2009 ilikuwa imeuza nakala 173,000 nchini US .[6]. Mauzo nchini Australia na Ufalme wa Muungano pia hayakuwa mazuri.

Chati (2008) Kilele
U.S. Billboard Top Country Albums 1
U.S. Billboard 200 4
U.S. Top Internet Albums 4
Canada Top 50 Country Albums 1
Canada Top 100 Albums 13
Australian ARIA Album Chart 95
Australian ARIA Country Chart[7] 6
UK Albums Chart 42

Single hariri

Mwaka Single Kilele katika
chati
US Country US US
Pop
CAN Country CAN UK
2008 "Come On Over" 18 65 60 16 60 81
"Remember That" 42 101 88
2009 "Pray Out Loud"
"—" inaashiria single ilishindwa kuingia kwa chati au haikutolewa

Historia ya Matoleo hariri

Eneo Tarehe
United States 9 Septemba 2008
Canada
Australia 13 Septemba 2008
Ujerumani 19 Septemba 2008
Ufalme wa Muungano 13 Oktoba 2008
Japan 10 Desemba 2008

Virejeleo hariri

  1. "Do You Know" out 9/9/2008 Archived 15 Septemba 2008 at the Wayback Machine. at Jessica Simpson's official site
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-09-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-24.
  3. Jessica Simpson's Country Record Due in 2008 at CMT.com
  4. Hot Country Songs at CMT.com
  5. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-02-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-24.
  6. http://www.billboard.com/#/news/ask-billboard-1003947916.story
  7. http://www.ariacharts.com.au/pages/charts_display_country.asp?chart=1F20

Viungo vya Nje hariri

Alitanguliwa na
Love on the Inside ya Sugarland
Billboard Top Country Albums Albamu ya kwanza
27 Septemba 2008
Akafuatiwa na
Learn to Live ya Darius Rucker