Abdulaaziz Chande (alizaliwa mnamo Septemba 15, mwaka 1994) anajulikana sana kwa jina la kisanii Dogo Janja, ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa Tanzania. Alizaliwa na kukulia katika kata ya Ngarenaro katika jiji la Arusha. Kwa sasa anaishi katika jiji la Dar es Salaam.

Wasifu hariri

Kuvutiwa kwake na muziki kulianza mapema, lakini kuachiliwa kwake kwa mara ya kwanza kulikuja mnamo mwaka 2016 aliposainiwa na Kundi la Tip Top Connection, lililoanzishwa na Babu Tale, na hapo awali lilikuwa na wasanii wengine mashuhuri wa Bongo Flava kama vile Rayvanny.[1] Toleo lake la kwanza My Life mnamo mwaka 2016 lilipokelewa vyema, na hivyo kuanzisha jina lake kama msanii.

Maisha binasfi hariri

Mnao mwaka 2018 alifunga ndoa na staa wa Bongo movie Irene Uwoya,[2], mpenzi wa zamani wa Diamond Platnumz.[3]

Discografia hariri

Albamu hariri

  1. Tatizo Pesa

Nyimbo:[4] hariri

  • 2016: My life
  • 2017: Ngarenaro
  • 2017: Ukivaaje Unapendeza
  • 2018 Banana
  • 2018: Mikogo Sio
  • 2018: Wayu Wayu
  • 2018: Since Day One
  • 2019: Yente
  • 2020: Asante ft Lady Jaydee

Marejeo hariri

  1. - SWAHIBA, BLOG. "Babu Tale kumfanya dogo Janja aimbe,mwenyewe amesapoti hilo.". swahibanewz. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-27. Iliwekwa mnamo 1 August 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. The Citizen (4 May 2018). "Irene and Dogo Janja aiming for a collabo". The Citizen. Iliwekwa mnamo 1 August 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Mwarua, Douglas (31 October 2017). "Diamond's hot ex-girlfriend exchanges marital vows with an under age rapper". Tuko.co.ke – Kenya news. Iliwekwa mnamo 1 August 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Mkito.com. "Dogo Janja". mkito.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-11. Iliwekwa mnamo 27 July 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)