Don 2: The King Is Back ni filamu ya kusisimua ya Kihindi ya 2011 iliyoandikwa,na kufanywa kwa ushirikiano na kuongozwa na Farhan Akhtar. Ni awamu ya pili katika mfululizo wa kurejesha upya Don[1] Filamu hii ikiwa imetayarishwa kwa ushirikiano na Excel Entertainment na Red Chillies Entertainment, Muhusika mkuu wa filamu hiyo ni Shah Rukh Khan kama shujaa maarufu dhidi ya mhasama mkuu, Priyanka Chopra, Boman Irani, Lara Dutta, Om Puri, Nawwab Shah, Ally Khan, Sahil Shroff na Kunal Kapoor wakicheza nafasi za usaidizi. . . Mwendelezo wa Don (2006), hadithi ya filamu hiyo inafanyika miaka 5 baada ya filamu ya awali wakati Don (Khan), mfanyabiashara katili wa kimataifa wa madawa ya kulevya, anapanga kuchukua udhibiti wa shirika la madawa ya kulevya la Ulaya. Wakati huohuo, Roma (Chopra) amejiunga na Interpol kumuwinda.


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Don 2 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.