Don Jazzy

Msanii wa nchini Nigeria

'

Don Jazzy
Don Jazzy
Amezaliwa26 Novemba 1982
Nigeria
Kazi yakemwanamuziki mkubwa Afrika


Michael Collins Ajerreh (alizaliwa Nigeria, 26 Novemba 1982) ni mwanamuziki mkubwa Afrika na dunia nzima.

Maisha yake ya elimu alisoma Co-educational high school, Federal Goverment college Lagos. pia ni mwanamuziki anayefanyakazi pamoja na D, Prince, Tiwasavage, Reecado banks, Korede Bello chini ya Mavin records.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Don Jazzy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.