Donatha Damian Tibuhwa

Donatha Damian Tibuhwa ni profesa wa mikrobiolojia katika Idara ya Biolojia ya Molekuli na Bioteknolojia (MBB), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Amejikita zaidi katika utafiti za bioteknolojia ya kuvu haswa maeneo ya uoto wa miombo, kuvu wa mchwa na sehemu za misitu.

Tibuhwa ni mkurugenzi wa kurugenzi ya masomo ya juu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.[1]

Marejeo hariri

  1. "Donatha D. Tibuhwa". University of Dar es Salaam. University of Dar es Salaam. Iliwekwa mnamo 15 March 2024.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donatha Damian Tibuhwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.