Donna E. Young ni msomi wa sheria wa Kanada, Mkuu wa Shule ya Sheria ya Lincoln Alexander katika Chuo Kikuu cha Toronto Metropolitan na profesa mashuhuri wa zamani katika Albany Law School.

Maisha ya awali hariri

Young alizaliwa na mama kutoka Jamaica na baba kutoka Belize. Alilelewa katika wilaya ya North York ya Toronto.

Elimu hariri

Young ana shahada ya kwanza ya saikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Toronto, Bachelor of Laws|bachelor of laws kutoka Osgoode Hall Law School katika Chuo Kikuu cha York na shahada ya uzamili ya sheria kutoka Columbia Law School.

Kazi hariri

Young alikua mkuu wa shule ya sheria ya Lincoln Alexander katika Chuo Kikuu cha Ryerson mnamo Januari 1, 2020. Kabla ya hapo alikuwa Rais wa Albany Law School's. Profesa William McKinley Mashuhuri wa Sheria na Sera ya Umma ambapo alifundisha kuhusu sheria ya uajiri, sheria ya jinai.

Kabla ya tahaluma yake Young alifanya kazi katika kaampuni ya sheria ya uajiri ya Cornish Roland ya kanada katika ofisi ya meya wa New York na katika tume ya haki za binadamu Ontario.

marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donna E. Young kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.