Doria ni kundi la wafanyakazi, kama vile maafisa wa utekelezaji wa sheria au wafanyakazi wa kijeshi, ambao ni wa kufuatilia eneo fulani la kijiografia kuwa ni salama.

Huyu ni askari akiwa kwenye doria la ukaguzi wa magari

Watu ambao wanafanya doria hulipwa kiasi fulani cha fedha, pia hutumia silaha mbalimbali kama bunduki, kirungu cha mpingo n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.