Double Impact
Double Impact ni filamu ya mwaka 1991, iliyoongozwa na Sheldon Lettich na ilichezwa na mwigizaji shupavu na mjasiri Jean Claude Van Damme alicheza kama Alex/Chad Wagner.
Double Impact | |
---|---|
| |
Imeongozwa na | Sheldon Lettich |
Imetungwa na | Sheldon Lettich Jean Claude Van Damme |
Imetaarishwa na | Jean Claude Van Damme Paul Michael Glaser |
Nyota | Jean Claude Van Damme Geoffrey Lewis |
Muziki na | Arthur Kempel |
Imehaririwa na | Mark Conte |
Imesambazwa na | Columbia Pictures |
Muda wake | dk. 107 |
Imetolewa tar. | 9 Agosti 1991 |
Nchi | Marekani |
Lugha | Kiingereza |
Muhtasari wa filamu
haririAlex na Chad Wagner walizaliwa watoto mapacha waliokuja kutengana wakiwa bado wachanga, kutokana na kuawa kwa wazazi wa watoto hao. Baada ya miaka 25 wakaja kukutana tena kwa mara ya kwanza na kuanza kuunda kikosi cha pamoja ili waweze kulipiza kisasi kwa watu waliohusika kuhondosha uhai wa wazazi wao.
Washiriki
hariri- Jean Claude Van Damme — Chad Wagner / Alex Wagner
- Geoffrey Lewis — Frank Avery
- Alonna Shaw — Danielle Wilde
- Bolo Yeung — Moon
- Alicia Stevenson — Baby Chad
- Alan Scarfe — Nigel Scarfe
- Philip Chan — Raymond Zhang
- Cory Everson|Corrina Everson — Kara