Doug Osheroff

(Elekezwa kutoka Douglas Osheroff)

Douglas Dean Osheroff (amezaliwa 1 Agosti 1945) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza elementi ya heli. Mwaka wa 1996, pamoja na David Lee na Robert Richardson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Douglas Osheroff
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doug Osheroff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.