Dušan Domović Bulut
Dušan Domović Bulut (pia anajulikana kama Dušan Bulut; alizaliwa Oktoba 23, 1985) ni mchezaji mtaalamu wa mpira wa kikapu ambaye alikuwa namba 1 kwenye men's individual 3x3 rankings kwa mujibu wa shirikisho la mpira wa kikapu la kimataifa (FIBA).[1]
Anaichezea Power kwenye BIG3 na Serbia men's national 3x3 team. Anatambulika kama mchezaji mkubwa wa mpira wa kikapu 3x3 wa wakati wote. [2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Lo, William Yat Wai (2014), "Dimension 1: Influences of University Rankings: Changes in Policy, University Governance and Individual Behaviours", University Rankings, Springer Singapore, ku. 81–101, iliwekwa mnamo 2021-12-13
- ↑ Lo, William Yat Wai (2014), "Dimension 1: Influences of University Rankings: Changes in Policy, University Governance and Individual Behaviours", University Rankings, Springer Singapore, ku. 81–101, iliwekwa mnamo 2021-12-13
- ↑ "New York Times Millennium/Microsoft Poll, July 1999". ICPSR Data Holdings. 2000-01-18. Iliwekwa mnamo 2021-12-13.