Edith Nawakwi
Mwanasiasa na mwanauchumi kutoka zambia
Edith Zewelani Nawakwi (amezaliwa takriban mwaka 1959) ni mwanasiasa na mchumi kutoka nchini Zambia. Edith ndiye mwanamke wa kwanza nchini Zambia kushika wadhifa wa Waziri wa Fedha baada ya kuteuliwa mwaka 1998, miaka 33 baada ya Zambia kupata uhuru. Pia alikuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika ukanda wa SADC. Pia ni rais wa chama cha Forum for Democracy and Development, ambacho alikitumia kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2016.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "Meet Zambia's sole woman presidential contender - Africa Review". web.archive.org. 2016-08-27. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-27. Iliwekwa mnamo 2024-12-29.
- ↑ "Edith Nawakwi on Zambian People Pages - Zambia, Africa at Zambian.com, a Zambian Website. Online information map about Zambia, Africa, Zambians, country friends. Facts, people, news, culture, etc". www.zambian.com. Iliwekwa mnamo 2024-12-29.
- ↑ "The positive side of your candidates – Edith Nawakwi | Zambian Eye". web.archive.org. 2016-09-11. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-11. Iliwekwa mnamo 2024-12-29.