Eeva Kalli (amezaliwa Kiukainen, 10 Januari 1981) ni mwanasiasa wa Ufini anayehudumu katika Bunge la Finland kwa tiketi ya Chama cha Kati katika jimbo la Satakunta.[1]

Marejeo

hariri
  1. Eduskunta profile
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eeva Kalli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.