Eileen Haddon

mwandishi wa habari na mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi

Eileen Haddon (19212003) alikuwa mwandishi wa habari na mwanaharakati wa Afrika Kusini.

Maisha hariri

Eileen Haddon alizaliwa tarehe 9 Machi 1921 huko Boksberg, mji wa madini wa Afrika Kusini. Alianza kusomea madawa katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand.lakini hakuweza kumaliza kozi hiyo,Mnamo Oktoba 1942 aliolewa na Michael Haddon, na aliishi Uingereza alihudumu katika Wanamaji wa Kifalme.[1]

  1. https://borthcat.york.ac.uk/index.php/haddon-eileen-1921-2003-journalist-and-activist