Ekolojia na sheria

Ekolojia na sheria ni gazeti la kila robo mwaka linalochapichwa na tawi la Sankt Peterburg la kituo cha haki za mazingira Bellona. Lina Grain amekuwa mhariri mkuu tangu mwaka 2008[1].

Gazeti hili lilianza kuchapishwa mwaka 2002. Lengo kuu la gazeti hili "ni kulinda haki za kimazingira za wananchi" ndani ya Urusi.[2]

Marejeo hariri

  1. "Журнал «Экология и право»". Bellona.ru (kwa ru-RU). Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  2. "Журнал «Экология и право»". Bellona.ru (kwa ru-RU). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.