El Harrouch ni mji na manispaa katika jimbo la Skikda Kaskazini-Mashariki mwa Algeria. Upo katika barabara kuu ya N3 kusini mwa Skikda na kaskazini mwa mji wa Constantine, nchini Algeria.[1]

Picha ya El harrouch
Ramani ya Algeria-ikionesha ulipo mji wa El harrouch
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu El Harrouch kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Marejeo hariri

  1. "Communes of Algeria". Statoids. Iliwekwa mnamo December 12, 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)