Eladi wa Toledo

Eladi wa Toledo (alifariki Toledo, Hispania, 633) alikuwa mmonaki wa Kigothi aliyehudumia kama askofu mkuu wa Toledo miaka 18 ya mwisho ya maisha yake akimuachia nafasi mwanafunzi wake Ildefonso wa Toledo aliyeandika baadaye habari za maisha yake akisisitiza huruma yake kwa maskini[1] [2].

Mt. Eladi akitoa kwa ukarimu.

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Februari[3]. [4]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Ildefonsus of Toledo, De viris illustris 7: PL 96,202
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/41470
  3. Martyrologium Romanum
  4. Paul Guérin (ed.), Vie des Saints des Petits Bollandistes, Parigi, Bloud et Barral editori, 1876, vol VII, p. 584.

VyanzoEdit

  • Alban Butler, Il primo grande dizionario dei santi secondo il calendario Casale Monferrato, Edizioni PIEMME, 2001 ISBN|88-384-6913-X
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.