Elaine Proctor

muongozaji wa filamu, mwigizaji, mwandishi wa filamu


'Maandishi ya kooze'Elaine Proctor ni mtu wa Afrika kusini alizaliwa mwaka 1960 ni muongozaji wa Filamu ,mwandishi wa vitabu na Muigizaji , Filamu yake ya Friends ilikuwepo kwenye 1993 Cannes Film Festival ambayo ilishinda Caméra d'Or Tofauti maalum [1]

Elaine Proctor
Amezaliwa Elaine Proctor
1960
Afrika ya kusini
Nchi Afrika kusini
Kazi yake mwandishi wa vitabu na muigizaji
Kipindi 1979 -2000


Elaine Proctor alishiriki kwenye National Film and Television School akiwa anajifunza chini ya Mike Leigh kuongoza filamu [2] Her graduation film, On the Wire, won the school's Sutherland Trophy.[3] Elaine Proctor pia amendika riwaya 2 , riwaya yake ya pili Savage Hour ilipendekezwa kwenye Barry Ronge Fiction Prize. mwaka 2015[4]

Filamu

hariri

viungo vya nje

hariri
  1. "Festival de Cannes: Friends". festival-cannes.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-11-02. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2009. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Candice Pires, "Filmmakers Mike Leigh and Elaine Proctor on their close friendship: Elaine Proctor and Mike Leigh met when she was a student at the National Film School and he was her teacher, and then, as fellow filmmakers, their friendship blossomed." The Guardian, 17 May 2015.
  3. 3.0 3.1 Beverly Andrews,"Himba on film", New African, 1 March 2001 Kigezo:Subscription required.
  4. "The Outsiders in My Head: 2015 Barry Ronge Fiction Prize Shortlistee Elaine Proctor on Writing The Savage Hour", The Sunday Times (South Africa), 2 June 2015.
  5. "Review: Kin", Variety, 7 August 2000.
  6. "Woven Tapestry of Colour", Daily News (Durban), 11 July 2012 Kigezo:Subscription required.