Eliezer Feleshi

Mwanasiasa wa Tanzania

Profesa Eliezer Mbuki Feleshi ni Mwanasheria Mkuu wa Tanzania kwa sasa na wa kumi tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961.[1][2] Aliteuliwa kama mwanasheria mkuu mpya kufatia mabadiliko katika baraza la Raisi Samia Suluhu Hassan mnamo Septemba 2021. Kabla ya kuwa Mwanasheria mkuu, Dr Fuleshi alikuwa hakimu mkuu wa mahakama kuu ya Tanzania tangu mwaka 2018.[3][4]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eliezer Feleshi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://habarileo.co.tz/habari/2021-09-1461403e6a05988.aspx
  2. "Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AGCTZ) | Mhe.Jaji Dk. Eliezer Mbuki Feleshi". www.agctz.go.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-01. Iliwekwa mnamo 2023-01-23. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/magufuli-appoints-former-dpp-dr-feleshi-new-principal-judge-2639296
  4. https://www.parliament.go.tz/administrations/818