Elinewinga (alizaliwa Masama Ng'uni) alikuwa Mmachame wa kwanza kwenda Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda kusomea elimu ya juu. Baadaye alikuja kuwa mbunge wa Hai na waziri.