Eliot Matazo (alizaliwa 15 Februari 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ubelgiji, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Royal Antwerp inayoshiriki ligi Kuu ya Ubelgiji akitokea AS Monaco kwa mkopo.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Eliot MATAZO". AS Monaco (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eliot Matazo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.