Elisa David Mollel

Elisa David Mollel (amezaliwa tarehe 17 Februari, 1945) ni mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi (Akheri) katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Elisa David Mollel". 3 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.