Elizabeth Maitland, Duchess of Lauderdale

Elizabeth Maitland, Duchess of Lauderdale (28 Septemba 16265 Juni 1698) alikuwa mwanamke wa cheo cha juu nchini Uskoti.

Mchoro uliochorwa na Peter Lely, 1648–49

Alikuwa binti wa kwanza wa William Murray na mke wake Catherine, ambao walikuwa Earl na Countess wa Dysart.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Memorial plaque for Katherine Murray". www.nationaltrustcollections.org.uk (kwa Kiingereza). National Trust. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Maitland, Duchess of Lauderdale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.