Elliot Warburton
Bartholomew Eliot George Warburton (anajulikana zaidi kama Eliot Warburton, 1810–1852) alikuwa msafiri na mwandishi wa riwaya kutoka Ireland, aliyezaliwa karibu na Tullamore, Ireland.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Boylan, Henry (1998). A Dictionary of Irish Biography (tol. la 3rd). Dublin: Gill and MacMillan. uk. 440. ISBN 0-7171-2945-4.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elliot Warburton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |