Elmer Rice (28 Septemba 18928 Mei 1967) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Elmer Leopold Reizenstein. Mwaka wa 1929, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Street Scene.

Elmer Rice, takriban 1920
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elmer Rice kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.