Elpidi alikuwa Mkristo aliyeishi katika mkoa wa Marche, Italia, labda kama mkaapweke katika karne ya 4 akitokea Kapadokia, leo nchini Uturuki[1].

Alivyochorwa na Giacomo di Nicola da Recanati, mwaka 1425.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 2 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Fabio Bisogni, Per Giacomo di Nicola da Recanati, in "Paragone", XXIV (1973), pp. 44-62.
  • Agiografia e culto dei santi nel Piceno. Atti del Convegno di studio (Ascoli Piceno, 2-3 maggio 1997).

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.