Emden ni mji na pia bandari iliyoko kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani, katika mto Ems. Ni mji mkuu wa mkoa wa Frisia ya Mashariki. Hadi mwaka 2006, mji ulikuwa na wakazi wapatao 51,692.

Mji wa Emdeni jinsi unavyoonekana kwa upande wa kushoto (juu).

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Emden kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.