Emilio Estevez Tsai (alizaliwa Kanada, Agosti 10, 1998) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama kiungo wa timu ya Hang Yuan FC.

Estevez mwaka 2019

Estevez anaiwakilisha timu ya taifa ya Taiwan katika ngazi ya kimataifa.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Platt, Oliver (24 Februari 2019). "Y9's Estevez Tsai bringing uncommon skillset to CPL". Canadian Premier League. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Molinaro, John (12 Mei 2020). "York9 FC's Emilio Estevez: 'To go from CPL open trials to Europe is just crazy'". Canadian Premier League. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emilio Estevez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.