Emma Bissell (alizaliwa 21 Disemba 2001)[1] ni mchezaji wa kandanda wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Everton inayoshiriki katika Ligi ya Juu ya Wanawake (WSL).[2]

Emma Bissell

Marejeo hariri

  1. UEFA.com. "UEFA Women's Champions League". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. Bissell, Edgar Julien. Benezit Dictionary of Artists. Oxford University Press. 2011-10-31. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emma Bissell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.