Emmy
(Elekezwa kutoka Emmy Award)
Emmy Award au Tuzo za/ya Emmy (pia inajulikana kama 'Emmy') ni tuzo ya matayarisho ya televisheni. Kwa asili inaonekana kufanana na tuzo za Peabody, lakini hii inashughulika sana na masuala ya burudani, na itazamika kuwa iko sawa na kile kipindi cha televisheni cha Academy Award (kwa ajili ya filamu), Grammy Award (kwa ajili ya muziki) na Tony Award (kwa ajili ya maigizo).[1][2]
Emmy | |
Hutolewa kwa ajili ya | Kufanya vizuri sana katika televisheni |
Hutolewa na | ATAS/NATAS |
Nchi | Marekani |
Imeanza kutolewa mnamo | 1949 |
Hutoa zawadi kwa ajili sekta mbalimbali ya soko la televisheni, ikiwemo na vipindi vya burudani, habari na makala ya TV, na vipindi vya michezo. Kwa maana hiyo, zawadi hutolewa katika kila baadhi ya maeneo ambapo sherehe hizi hufanyika kila ifikapo baada ya mwaka.
Marejeo
hariri- ↑ BBC Learning English | Emmy awards
- ↑ "Emmys For Dame Helen/The Sopranos - Reality TV | Photos | News | Galleries". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-14. Iliwekwa mnamo 2009-08-12.
{{cite web}}
: Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20080614060752/http://entertainment.uk.msn.com/tv/features/gallery.aspx?cp-documentid=
ignored (help) Archived 14 Juni 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emmy kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |