Endless Love
"Endless Love" ni wimbo uliotungwa kama wimbo wa kushirikiana kati ya wanamuziki wanaoimba nyimbo za miondondoko ya Soul Diana Ross wakishirikiana na Lionel Richie, ambaye yeye ndiye aliyeandika wimbo huu. Katik wimbo huu, kila mwimbaji anamwambia mwenzake juu ya mapenzi yake uu yake yasiyokuwa na mwisho juu ya mwenzake. Wimbo huu uliridiwa na mwanamzuiki mwingine anayeimba nyimbo zenye mahadhi ya Sul Luther Vandross kwa kushirikiana na mwanamuziki anayeimba miondoko ya Pop Maria Carey, lakini pia wimbo huu ulirudia na mwanamuziki mwingine aitwaye Kenny Rogers lakini halikadhalika kundi la Glee pia walirudia wimbo huu
“Endless Love” | ||
---|---|---|
Single ya Diana Ross na Lionel Richie kutoka katika albamu ya Endless Love: Original Motion Picture Soundtrack | ||
Muundo | 7" single | |
Aina | Pop | |
Urefu | 4:24 | |
Studio | Motown | |
Mtunzi | Lionel Richie | |
Mtayarishaji | Lionel Richie |
Chati
haririChati (1981) | Ilipata nafasi |
---|---|
Dutch Singles Chart | 10 |
Norwegian Singles Chart | 8 |
Swedish Singles Chart | 5 |
Swiss Singles Chart | 6 |
UK Singles Chart | 7 |
U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
U.S. Billboard Adult Contemporary | 1 |
U.S. Billboard Black Singles | 1 |
Toleo la Luther Vandross na Mariah Carey
hariri“Endless Love” | ||
---|---|---|
Single ya Luther Vandross and Mariah Carey kutoka katika albamu ya Songs | ||
Muundo | CD single, cassette single, 7" single | |
Aina | Pop | |
Urefu | 4:21 | |
Studio | Epic | |
Mtunzi | Lionel Richie |
Wimbo huu pia ulirudiwa na Luther Vandross akishirikiana na Mariah Carey, na utayarishwa na Walter Afanasieff
Chati
haririChati (1994) | Ilipata nafasi |
---|---|
Australian Singles Chart[1] | 2 |
Austrian Singles Chart[2] | 13 |
Canadian Singles Chart[3] | 14 |
Dutch Singles Chart[4] | 6 |
European Singles Chart[5] | 7 |
Finnish Singles Chart[6] | 11 |
French Singles Chart[7] | 12 |
German Singles Chart[8] | 14 |
Irish Singles Chart[9] | 4 |
New Zealand Singles Chart[10] | 1 |
Norwegian Singles Chart[11] | 6 |
Swedish Singles Chart[12] | 10 |
Swiss Singles Chart[13] | 6 |
UK Singles Chart[14] | 3 |
U.S. Billboard Hot 100 | 2 |
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks | 11 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 7 |
Mauzo na Tuzo
haririMsambazaji | Mauzo | Tuzo |
---|---|---|
Australia | 75,000+ | Platinum |
New Zealand | 7,500+ | Gold |
United States | 500,000+ | Gold |
Marejeo
hariri- ↑ Australian Singles Chart
- ↑ Austrian Singles Chart
- ↑ Canadian Singles Chart
- ↑ Dutch Singles Chart
- ↑ "European Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-25. Iliwekwa mnamo 2010-04-01.
- ↑ "Finnish Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-04-01.
- ↑ French Singles Chart
- ↑ German Singles Chart
- ↑ Irish Singles Chart
- ↑ "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-14. Iliwekwa mnamo 2010-04-01.
{{cite web}}
: Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20151014214331/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret=
ignored (help) Archived 14 Oktoba 2015 at the Wayback Machine. - ↑ Norwegian Singles Chart
- ↑ Swedish Singles Chart
- ↑ Swiss Singles Chart
- ↑ UK Singles Chart